Mkali wa muziki wa Rap nchini Tanzania anyefanya poa sana mpaka nje ya Tanzania kwa sasa Nay wamitego, baada ya kufanya poa na audio ya wimbo wake wa Nyumbani kwtu, wimbo ulioimbwa katika mahadhi ya mnanda, sasa ametuletea video ya wimbo huwo. Nay ambaye nyimbo zke nyingi zimekuwa hit, anaamini kabisa video ya wimbo wa nyumbani kwetu utakufanya uzidi kufurahi kazi zake anamaliza kwa kusema
Bodaboda waeleza mafanikio mafunzo usalama barabarani
-
MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya
usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria
mbalimba...
3 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment