Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.
WAKULIMA VIJANA WAELEZA FAIDA ZA MATUMIZI YA MBEGU BORA
-
Mkulima kijana kutoka jijini Arusha anayefahamika kwa jina la Edward Jacob
anayejihusisha na kilimo cha Mbogamboga na Matunda ameeleza faida za
matumiz...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment