Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole
mkoani Morogoro Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu
wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa
kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15
akitolewa nje baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo
kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo cha
Chifu Kingalu wa 14
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15
akichomeka fimbo yake ya Uchifu kabla ya kuketi meza Kuu na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo
kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 2, 201
0 MAONI YAKO:
Post a Comment