Swahiba mkubwa wa Marehemu Albert Mangweah M 2 THE P akiimba kwa hisia kali usikuwa leo
Tamasha la kumbukumbu maalum kwa merhrmu Albert Mangweah limenyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Maisha Club mkoani Morogoro. Katika tamasha hilo lililohudhuliwa na wasanii kibao wakali toka Dar es salaam na Morogoro, wasanii wengi walionekana kukonga nyoyo za mashabiki waliohudhuliamkatika tamasha hilo
Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele akishusha mashairi kw alisala
Mwanamuziki Squezer akiwakilisha vema kabisa
MB toak Yakuza mob
Mash J toka mokomoko Movement akikisanua
Philipo Nyandindi O-Tenakiimba kwa hisia
Poison akifanya makamuzi jukwaani
Mash J kulia akiimba Mperampera jukwaani huku Dogo sady akimsindikiza
Hii ndiyo Mokomoko Movement hapa ni Mash J,Poison na Dogo sady
Mkali wa Hip Hop toka Morogoro Poison akiwa Red Carpet
Afande Sele na O-Ten katika Red Carpet
Warembo nao hawakuwa nyuma
Baadhi ya wadau waliohudhulia Tamasha la kumuenzi Ngweah
Mc Calvin Zombi Prezdaa akifanya yake
0 MAONI YAKO:
Post a Comment