March 30, 2015

Baada ya kufanya poa na ngoma yake ya sinampangoa naye aliyomshirikisha MR. Blue, hatimaye mkali wa muziki wa Bongo fleva toka mkoani Dodoma Ainea ameachi ngoma yake hii mpya kabisa ambayo tayari imeshaanza kufanya poa kwenye media inaitwa Najuta kupenda.


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE