Huyu
kijana kushoto amekamatwa kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa
kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na
kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na
kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao
zichezwe redioni
MBUNGE MTATURU ACHANGIA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU
-
JITIHADA za Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu kwa
kushirikiana na wanachi zimesaidia kukamilisha kazi ya upauaji wa madarasa
mawil...
15 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment