January 25, 2015

Leo January 25 ni siku ya kuzaliwa kwa mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena ya Clouds Fm Husna Abdul ‘Dahuu’ kwenye siku yake ya kuzaliwa ameamua kusherehekea kitofauti kidogo.
Taratibu alizoamua kusherehekea mwaka huu ni kwenda kwenye hospital ya Amana iliyopo Ilala ambako alizaliwa kwenye hospital hiyo Tarehe kama ya leo na kutoa misaada mbalimbali kwa wakina mama wanaojifungua kwenye hospital hiyo.
Msaada uliotolewa na Dahuu una jumla ya thamani ya shilingi 1,200,000.

179amn 
 Pi Dahuu ameteuliwa kuwa balozi wa kujitegemea wa Hospitali hiyo.
 Katiak ziara hii Dahuu akiungana na watangazaji wenzake, wadau na wafanya kazi wengine wa Clouds medi

137amn 


 56amn


 203amn 
41amn

104amn 

 Blog hii inaungana na Husna Abdul Dahuu katika kushrehekea siku yakw ya kuzaliwa. Mungu ampe maisha marefu, baraka tele na moyo wa kujitolea zaidi.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE