January 23, 2015


Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake wa Rimex ya John iliyoimbwa na yemmy Alade wa Nigeria na yeye kuipa jina la Penny, mwanamuziki toka mkoani Morogoro Mash J, safari hii imekuja tena na wimbo wake mpera mpera aliomshirikisha Stamina na wimbo huo umefanyika katika studio za Kwanza Records chini ya Producer Vennt Skillz
SKILIZ ANA DOWNLOAD HAPA

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE