January 24, 2015

photo 1
Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa  na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijijini kwake Ngarash Monduli.Mzee Ole Ngoilenya ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 120 alikuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha TAA na baadaye TANU wilayani Monduli wakati huo ikijulikana kama Maasai District.Pia  ndiye alikuwa chachu kwa Mh Lowassa na wanasiasa wengine wa Monduli kuingia katika siasa. Alitoa wake 9 na kufanikiwa kupata watoto 53 

photo 3

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE