January 24, 2015

 
 Mwanaumiki nguli wa Hip Hop nchini Kala pina, ametangaza nia ya kugombea kiti cha ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha wananchi CUF.

  Akizungumz katika kipindi cha Leo tena cha Clouds Fm jana, Kala pina amesema, ameamua kugombea ubunge kwa ajili ya kupambana dhidi ya vitendo cviovu wanavyofanyiwa watanznia akitolea mfano sakata la ESCROW
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE