January 24, 2015

 
 Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena kinachorushw ana kituo cha matangazo cha Clouds Fm, Husna Abdul (Dahuu) amependekezwa kuwa Balozi wa Kujitolea wa Hospitali hiyo. 
 Uteuzi huu umekuja baada ya harakati za huyu dada juu ya kina mama na maendelea kwa jula. Kutokana na kuteuliwa kwake hasa ukizingatia Husn pia amezaliwa katika Hospitali hiyo  siku ya Th 25 Janwuary. 
  Katika kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake, Dahuu amepanga kutembelea Hospitalini hapo siku ya Jumapili hii akiambatana na wadau mbalimbali wa Leo Tena na Clouds Fm, lakini pia kama mdau pia unaruhusiwa kushiriki ziara hii 

 Cheki na 0717 51 96 52

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE