December 18, 2014


Seneta Johnston Muthama aliyejeruhiwa mguuni na kuchaniwa suruali yake wakati wa vurugu bungeni leo.

WABUNGE nchini Kenya leo wametofautiana bungeni na kuamua kutupiana makonde huku wengine wakichaniana nguo kufuatia mjadala kuhusu muswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa Wakenya.
Bunge nchini Kenya.
Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 kufuatia mtafaruku…

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE