December 19, 2014




Video iliyosubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa Ali Kiba ‘Mwana’imeanza kuonyeshwa ijumaa ya 19 Decemba 2014. Ali Kiba amethibitisha kuwa video imekamilika kwa kutoa kionjo cha video hio na kusema ‘Video imetayarishwa na muongozaji kutoka Afrika Kusini na imefanyika maeneo ya mjii wa Cape Town” .

Vituo vilivyo tarajiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza ni

Cameroon, Ethiopia, Angola, U.S. & U.K. itachezwa kwenye vituo vya 1Musicnetworks.

Nigeria na Ghana itachezwa kwenye kituo cha SOUNDCITYtv.

Uganda itachezwa kwenye kituo cha NTVUganda.

Kenya itachezwa kwenye kituo cha Citizen Tv kwenye kipindi cha Mseto.

Tanzania  CloudsTV.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE