December 17, 2014

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE