February 26, 2016

 Mdau mkubwa sana wa Blog hii pendwa Edson Kati, siku ya jana alihadhimisha mwaka mmoja wa ndoa yake , toka alipofunga ndoa hi December 2013. 
   Maisha ya ndoa siku zote yana mitihani, misuguano  ya hapa na pale hasa ukisikia maneno ya watu wa pembeni, lakini ndugu yetu Edson anaweza kupambana nayo na kuifanya ndoa yake kuwa bora kabisa kila siku.

 Kwa niaba ya timu ya Ubalozini.blogspot,com tunapenda kuwatakia Kheri nyingi kwenu, mungu azidishe nuru yake katika maisha yenu, awape baraka zote zinazohitajika katika ndoa, kuidumisha na kuzidi kuwapa uvumilivu



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE