December 13, 2014

   Taarifa toka kwa watu wa karibu na marehemu pamoja na familia, imethibitisha kifo cha mdau mkubwa asana wa media Tanzania G_ STAR wa ukweli. Tratibu za mazishi zinafanyika na marehemu atazikwa siku ya Jumatatu Mkoani Kilimanjaro. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE