November 24, 2014

  Baada ya kufanya poa na wimbo wake wa mwanzo wa  Satisfaction, hatimaye mwana dada Classic Beyb amekuja kivingine na hii bonge ya ngoma chini ya mtayarishaji KGT toka G record ngoma inaitwa Fly Away


 Wimbo huu ukiwa maalum kuachiwa siku ya November 25 lakini kwa mara ya kwanza kabisa unakwenda kuipata hapa


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE