Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye
ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa
kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ
kituoni hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment