October 29, 2014

 
 Oct 25 2004 mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya na mwana mapinduzi wa mziki huu Inspector Haroun Babu alifunga pingu za maisha. Ni miaka 10 sasa ya ndoa yake. Th 25 alifanya party ya shukrani kwa kudumu kw amuda wote ndani ya ndoa.
 
 "Hey watu wangu nawashukuru sana walioungana nami na familia yangu na kunisapoti siku ya jana shukrani za dhati ziwafikie wote waliofanikisha shughuli yangu kwa namna moja au nyingine shukrani kw wasanii wenzangu lwp,mabagafresh,domokaya,young tuso,luten karama,Pnc,suma g,miss bella nawengine pia nawashukuru sana  ahsanteni sana mwisho kwenu nyinyi wadau mashabiki coz nyinyi ndo mabosi wangu na ndo mnanipa moyo kilakukicha nakunifanya niendelee kuwepo kwa game ahsanteni pia namshukuru allah jah yehova kwani yeye ndo kilakitu na ndie anajalia punzi zetu sote, marafiki wote wa page yangu hapa fb ahsanteni kwa sapoti yenu nashukuru kufanikisha na kumaliza salama show ya jana"
  
Inspecto amekuwa mfano wa kuigwa si kwa wanamuziki wenzake bali ni kwa vijana wote wa sasa .
 

 Uongozi wa ubalozini.blogspot.com  tunaitakia mema familia hii izidi kuwa na kheri hasa katika maisha haya ya ndoa.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE