October 29, 2014

 
Baada ya Miss Tanzania Sitti Mtemvu kutupiwa maneno machafu na Watanzania kwa madai ya kudanganya umri wake na shutuma nyingine kuwa ana mtoto na hakustahili kuwepo na hata kushinda taji hilo na kutaka avuliwe taji, Mshindi wa taji hilo kutoka Uganda Leah Kalanguka, yamkuta kama hayo 
Waganda wamcharukia kwa matusi kupitia mitandao ya kijamii ya facebook na twitter, mrembo Leah Kalanguka aliechaguliwa kuchukua taji hilo 2014-2015 usiku wa jumamosi, mashindano yaliyofanyika Speke Resort Munyonyo, kwa madai kuwa ni "mbaya" na hastahili taji hilo.
“Miss Uganda World is your theme Beauty with a purpose or Ugly with a purpose?” mmoja wa waganda aliuliza uongozi wa Miss Uganda World kupitia Facebook.
“Museveni is always embarrassing Besigye, now he declared him Miss Uganda,” amesema mganda mwingine anaejulikana kama Maseruka kupitia mtandao wa Twitter.

Frankie Sinatra ye amesema; “TF is this UPDF? Is Miss Uganda now chosen ironically? Like who di ugliest of di bunch? Like who will scare Somali soldiers? Miss Scarecrow”
“And so this Miss Uganda winner, I have been told super heroes are rarely attractive. I hope she can cure cancer.”
Sebintu Nyini bintu ameandika:  United States is about to Invade Miss Uganda, she looks like Oil.
Leah, ambae alikuwa ni mkulima wa uyoga na ufugaji kuku, alinyakuwa taji hilo la Miss Uganda baada ya kufufua upya mashindano hayo ya urembo na kayafanya kutumika ku-promote kilimo
Kalanguka, 23,amewashinda washiriki wengine 19 baada ya kuoneka mrembo na catwork ya hatari akiwa na boot zilizkuwa spsored najeshi, ambapo washiriki walishindana kukamua maziwa ya ngo'ombe na kutembea na mbuzi nakondoo.
unamuonaje mrembo huyu..maoni yako tafadhali

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE