October 23, 2014


 
Msanii kutoka kundi la TMK Wanaume,Mh.Temba na na mlezi wa kundi hilo Said fela wamejitolea kumsomesha kwa miaka saba mtoto wa aliyekuwa msanii wa Bongo Flava kutoka kundi hilo aliyefariki usiku wa kuamkia juzi na kuzikwa jana katika makaburi ya chang’ombe, marehemu Yesaya 



 
Marehemu ameacha mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Ambilikile, Fella amesema kuwa atahakikisha mtoto huyo anapata elimu kwani ndiyo msingi mkuu wa maisha ya mwanadamu. Mh. Temba pia amefunguka kuwa milango iko wazi kwa mtu yeyote ambaye yupo tayari kujitolea kumsaidia mtoto huyo

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE