October 22, 2014


Screen Shot 2014-10-22 at 9.29.15 AM 
Alikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano na kuisimamia hiyo show kwa zaidi ya dakika 60.
Baada ya show Jumamosi, T.I aliondoka Tanzania Jumapili kurudi kwao Marekani kwa ajili ya kuhakikisha promo inakwenda vizuri sababu album yake mpya ilikua inatoka Jumanne ya October 21.
Akiwa NewYork T.I alijikuta yuko mbele ya camera akihojiwa na mwandishi wa habari aliemuuliza kuhusu ishu ya Iggy na Snoop ambayo alisaidia kuimaliza na baada ya hapo akamuuliza T.I vp Tanzania ilikuaje? Ebola je?
T.I alichojibu ni hiki >>>Tanzania ilikua poa sana, sijaona Ebola yoyote wala kuona hata dalili za kuwepo kwa ugonjwa huo, sijaona chochote cha kunifanya niifikirie Ebola au kuhisi uwepo wake
Unaweza kumtazama T.I hapa chini


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE