October 21, 2014

 
Mama aliyekuwa na mtoto mchanga akiwa amebebwa na Wasamaria wema.
 
Umati wa watu wakiwa eneo la tukio.
.

 
Dereva wa pikipiki akiwa anagugumia kwa maumivu baada ya tukio. Pembeni ni pikipiki iliyopata ajali.
KITOTO kichanga  jana kilinusurika kufa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ubungo-Darajani  jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa amepanda mama yake kuteleza na kuanguka wakati dereva  akitaka kuovateki gari iliyokuwa mbele yake.
Katika tukio hilo kichanga hicho kiliumia sehemu ya usoni, huku dereva na mama mwenye mtoto wakipata majeraha sehemu mbalimbali za miili yao.
(Habari/Picha Chande Abdalah na Gabriel Ng’osha/GPL)

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE