September 13, 2014

 

Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu. Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu, Wengine Wanaofanya Vizuri ni Fid Q, Vanessa Mdee na Diamond.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE