August 21, 2014

13tng 
 Huu utakua mkoa wa 4 kwenye list ya miji 18 ambayo watapata nafasi ya kuonja utamu wa Serengeti Fiesta 2014,ilianzia Mwanza ikafuata Bukoba ikasogea hadi Kahama na sasa ni zamu yao Tanga.

 Tanga itakua ni Jumamosi hii August 23 kwenye viwanja vya Mkwakwani,hizi ni shamra shamra za Serengeti Fiesta ambapo Clouds Fm iko live kutokea hapo wakiongozwa na Adam Mchomvu,Gea Habib na Bonge.
5tng 

3tng 

17tng 

15tng 

18tng 

24tng 

25tng 

27tng 

31tng 

36tng 

1tng 

28tng 
Picha hizi ni kwa hisani ya Millardayo.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE