July 28, 2014

Ukilinganisha umri wake na kile anachokiandika, ni vitu viwili tofauti. Uwezo mkubwa ma mashairi unaowashangaza wengi sana waliopata bahati ya kuuskia wimbo wake wa Nipe nafasi. Anaitwa Immanuel au Imma poison ndiyo jina alilopewa na wadau. Ana umri wa miaka 14 tu toka mkoani Mororgoro. Baada ya kuskiliza mashairi yake msanii Stamina Kabwela akashawishika kushirikiana nae uku msanii Kennie akikaza kwenye Chorus

SKILIZA HAPA KISHA SHIRIKI NA WENZIO

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE