April 18, 2014


Agnes Jerald 'Masogange'.
AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya kufanya kazi na mkali wa Morogoro, Belle 9 katika kibao chake cha Masogange.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE