April 17, 2014


Jakaya-Kikwete 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora wa Maendeleo Afrika tuzo ambayo hutolewa na  Taasisi inayochapisha Gazeti la African Leadership la nchini Marekani.
Akikabidhi tuzo hiyo Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe ambaye aliipokea tuzo hiyo nchini Marekani  kwa niaba ya Rais Kikwete amesema kutunukiwa kwa tuzo hiyo kulitokana na kushindanishwa katika vigezo mbali mbali.
Wasomaji  wa gazeti hilo walimchagua Rais Kikwete kwa zaidi ya kura laki nne ambazo ndizo zilizomfanya kuwa mshindi kwa mwaka uliopita wa 2013.
Aidha amesema  miongoni mwa sifa zilizomwezesha Rais KIKWETE kutwaa tuzo hiyo ni pamoja na kuiendeleza nchi kiuchumi, pamoja na kukuza maendeleo ya watu,Akiipokea tuzo hiyo kwa furaha kubwa Rais KIKWETE  amesema, ni ya watanzania wote.
Rais Kikwete amekuwa kiongozi wa tatu Afrika kupokea tuzo hiyo, ambapo Kabla ya Rais Kikwete, tuzo hiyo ilikwishatolewa kwa marais wa Sierra leone na Liber

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE