December 14, 2012



 snura mushi.....
Huyu naye ni msanii wa flam aliyeamua  kuyanadi makalio  yake  katika  mitandao  mbali mbali.......Siku  hizi imekuwa  fashen.....Kibaya  chajiuza....!!! 
 ---------------------------------------------------
>>>“Tangu nikiwa mtoto nilikuwa na makalio na haya nimerithi kwa bibi yangu kwani alikuwa mnene sana.” 
 

  >>>“Huwa napenda kuvaa magauni marefu kwa sababu huwa najiona ninapendeza, shepu yangu inaonekana vizuri na nimejisitiri pia.”

>>>“Sijui saizi kwa sababu huwa sivai nguo  za  ndani.”
 
>>>“Usumbufu ni mkubwa sana kutoka kwa wanaume, baadhi yao ukipita wanakuomba namba za simu.”

>>>“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.”na Mpekuzi:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE